Agiza virutubisho bora kwaajili ya afya yako

aloe vera gelly

Aloe vera gelly ni bidhaa ya asili inayovutia kwa ajili ya ngozi, ikikausha maji na kutoa unyevu wa kutosha, hivyo kufanya ngozi kuwa na mng’ao wa asili. Ina uwezo wa kuondoa chunusi kwa kupambana na uvimbe na bakteria, na kusaidia ngozi kupona haraka!!

CLEAN 9 PROGRAM

Clean 9 ni mfumo sahihi wa siku 9 wa kuomdoa sumu mwilini,kupunguza uzito,na kuondoa kitambi.ukifata maelekezo kikamilifu,utapata matokeo bora mwili wenye afya,nguvu zaidi na muonekano unaotamani!!

ALOE VERA GEL

Aloe Vera Gel ni aina ya juice ambayo imetengeneza kwa kutumia mmea wa alovera inakazi nyingi na pia inasaidia kwenye  mmengenyo wa chakula na huondoa gesi chafu mwilini,kisukari na  uondoa vidonda vya tumbo!!

FOREVA SONYA SKIN CARE

Sonya skin care ya Forever Living huondoa uchafu na mafuta,huondoa ukavu na madoa madoa katika uso.huondoa pia uso mmoja kuwa na rangi mbili.pia husaidia kuondosha tatizo la mafuta mengi kwenye ngozi!!

NAMNA YA KUAGIZA BIDHAA

ukihitaji bidhaa husika utabonyeza coin iliyoandikwa AGIZA SASA kisha kitakupeleka whatsapp na hapo utasema mkoa ambao utakuwepo ili bidhaa ikufikie ndani ya siku mbili za kazi